Mkuu sijasema kwamba hicho kinafanyika ila ni uoga wangu tu,na kutokuwa na imani na vitu vya bure.Mimi kitu ukishaniambia ni cha bure tu hapohapo unakuwa ushanivuruga.Mbona mi nishaenda kupima na nilikutwa sina kwenye hizo NGOs nilikua na rafiki zangu wa3 wote tulikua salama
Ahahahah,,hupendi vitu vya bure ee [emoji23][emoji23]Mkuu sijasema kwamba hicho kinafanyika ila ni uoga wangu tu,na kutokuwa na imani na vitu vya bure.Mimi kitu ukishaniambia ni cha bure tu hapohapo unakuwa ushanivuruga.
Kabisa.Ahahahah,,hupendi vitu vya bure ee [emoji23][emoji23]
Je mi nikitaka kukupa bure pia hutaki?Kabisa.
Sidhani kama itakuwa bure mana kuna gharama za uendeshaji hapo,usafiri,malazi,chakula,vinywaji,nguvu kazi na bahshishi baada ya shuhuli yenyewe,kwa harakaharaka hapo tayari ishakatika laki.Je mi nikitaka kukupa bure pia hutaki?
HahaahhahaSidhani kama itakuwa bure mana kuna gharama za uendeshaji hapo,usafiri,malazi,chakula,vinywaji,nguvu kazi na bahshishi baada ya shuhuli yenyewe,kwa harakaharaka hapo tayari ishakatika laki.
Hili dude ni shida hata usipokuwa hodari wa kuvua chupi linakupata tu.Ukiona huna mshukuru tu Mungu.Kuna scenario Moja imetokea juzi yaani imenifanya nifikiri mara mbili mbiliUkiwa na utendaji kazi uliotukuka lazima upate tuzo, so ukipenda kuvua chupi sana tuzo ni ukimw. Hili gonjwa lipo ww lisikilizie kwa mwenzio tu si kwako, siku likikupata ndio utajua nini maana ya UKIMW.
Sent using Jamii Forums mobile app
Majupu hua yananikosesha raha sanaMimi hata kwa greda siendi kupima. majuzi niliota majipu kama 8 nikajua tayari.