pol dauda
Senior Member
- Sep 21, 2017
- 126
- 45
Labda shida inakua jina walilotoa UKIMWI ndo mana hutak kuamn kama upo bas boss tubadili dili jina badala ya ukimwi tuite ataa!! SLIMDIE
labda utaamin
Kwann uamin magonjwa mengne yaliyofumbuliwa na watu hao hao wana sayans na ndo walovumbua na ukimw afu ukatae ukimw haupo ?!? Bas malaria nayo ,pneumonia hayapo
labda utaamin
Kwann uamin magonjwa mengne yaliyofumbuliwa na watu hao hao wana sayans na ndo walovumbua na ukimw afu ukatae ukimw haupo ?!? Bas malaria nayo ,pneumonia hayapo