Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Eti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waafrika tumegundua muziki ndio maana vyombo vyote vya muziki vilianza kutengenezwa africaEti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
View attachment 3263022
Mdundikokupenda ngoma
Waarabu waleMkuu angalia historia ya misri nadhani utajifunza na kujua mengi
Kuchakata kura kwa kuzifanya ziongezeke bila ya kuwepo wapiga kuraEti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
View attachment 3263022
Post ya hovyo kabisa hiiEti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
View attachment 3263022
Acha uzwazwa mwnangu. Siyo kila mweusi ni zwazwa kama wewe kupenda kukata mauno. Tuombe msamaha wengine tusioshabikia ngono kama ilivyo huku ambapo uzi nyingi ni masuala ya ngono na akina mama.Eti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
View attachment 3263022
Kama walikuwa blacks kweli, kipi kinatushinda kwa sasa?Mkuu angalia historia ya misri nadhani utajifunza na kujua mengi
Misri ya zamani iliyofanya uvumbuzi wa vitu mbalimbali haikuwa ya waarabu, waarabu walivamia baadae wakatawala Misri na Afrika Kaskazini, na ndio mwisho wa umaarufu wa Misri kutumia akili.Waarabu wale
Kuchinjana, kutekana kwa maslahi ya waarabu na wazunguwakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?