Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ila ni indigenous wa AfricaWaarabu wale
Uwezo ndogo wa watu wa sasa kufikiri hata katika mambo madogo nakuwaachia tech kama AI kufanya mambo yao.Kama walikuwa blacks kweli, kipi kinatushinda kwa sasa?
Mada inaongelea "watu weusi"Ndio ila ni indigenous wa Africa
Leta ushahidi acha porojo na kujitia moyoMisri ya zamani iliyofanya uvumbuzi wa vitu mbalimbali haikuwa ya waarabu, waarabu walivamia baadae wakatawala Misri na Afrika Kaskazini, na ndio mwisho wa umaarufu wa Misri kutumia akili.
mkuu kama hutajali tuwekee rejea yoyote ya haya uliyoandika apa vinginevo naww tukuongeze kwenye listi ya wakata viuno🤣Waafrika tumegundua muziki ndio maana vyombo vyote vya muziki vilianza kutengenezwa africa
hizi stori ya pyramids hazijanyooka zina theory kibao. hata ukiwauliza wabobezi wa historia wa ukouko misri hawajui nani waliojenga. zimebaki historia za kufikirika tu.Misri ya zamani iliyofanya uvumbuzi wa vitu mbalimbali haikuwa ya waarabu, waarabu walivamia baadae wakatawala Misri na Afrika Kaskazini, na ndio mwisho wa umaarufu wa Misri kutumia akili.
Hoja ya msingi ni kuwa zilijengwa miaka mingi kabla ya uvamizi wa Waarabuhizi stori ya pyramids hazijanyooka zina theory kibao. hata ukiwauliza wabobezi wa historia wa ukouko misri hawajui nani waliojenga. zimebaki historia za kufikirika tu.
tuwekee maandiko kiongozi tufunge mjadala wa pyramids.Hoja ya msingi ni kuwa zilijengwa miaka mingi kabla ya uvamizi wa Waarabu
Chief mbona kila kitu kipo wazimkuu kama hutajali tuwekee rejea yoyote ya haya uliyoandika apa vinginevo naww tukuongeze kwenye listi ya wakata viuno🤣
😳!Uvumbuzi wa ugali
Kukesha kanisani,kuomba sana, kuamini ma tatizo yataondoka kwa kuomba tu, kushabikia mpira,kupenda ngono, kuona ni jambo la maana sana,Eti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
View attachment 3263022
Mtu mweusi yukoje na mweupe yukoje tuanzie hapaMada inaongelea "watu weusi"
Wewe na mwarabu mnafanana?Mtu mweusi yukoje na mweupe yukoje tuanzie hapa
TrrueKukesha kanisani,kuomba sana, kuamini ma tatizo yataondoka kwa kuomba tu, kushabikia mpira,kupenda ngono, kuona ni jambo la maana sana,