Heinrich Himmler
Member
- May 20, 2013
- 71
- 151
wadau shikamoni, naomba kuuliza hivi ukifanya registration kwenye site ya HESLB unatakiwa usubiri wakutumie password kwenye email uliyoandika, maana nimejaribu ku-login kwa kutumia ile password niliyoandika wakati na-register imekataa, Ushauri please kwa wale mlioregister bodi ya mikopo