Hivi Ukisema leo ufute social media zote utakufa?

Hivi Ukisema leo ufute social media zote utakufa?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Binafsi nimekuwa mtu ambaye niko so addicted na hizi vitu, huwa naondoka najipa break ila boredom inanirudiasha.

Sasa hii constant stimulation na addiction inafanya ujihisi accomplished kwa kuscroll kuliko actuality..

According to neuroscience dopamine hits, zinakufanya ucrqve higher version ya kile ulicho consume.. Yaani kama umezoea kupiga nyeto mara moja, means Kadri unavoyzidi kupiga, next time utahitaji kuongeza iwe mara mbili. Ili kikidhi mahitaji ya dopamine hits.

Sasa, kuna watu ambao wanaweza kubalance, good kwao. Kuna wengine we're so sensitive. Na hii inaweza kuwa silaha kuaccomplish makubwa, au inaweza kuwa sumu ya kukufanya ukae no productive kwa kumbiza cheap dopamine.

Sasa, ili mimi de Gunner niweze kufikia adhima yangu ya kuja kuwa mtu maarufu duniani by 2040 nimeamua kuanzia leo ni tafuta social media apps, nitabakiza YouTube, Chrome na jf pekee.
991d43e24f59db5109ded5ac2d915058.jpg

Nita pata taarifa zote muhimu bila kubaki nikiangalia ushubwada wa wajinga wanaopata pesa kupitia wajinga.

It's go season now. 🔥

Je, una uraibu na mitandao ya kijamii? Au uraibu wa aina yoyote? Umepanga njia ipi kui limit au kuacha mazima?
 
NCHIMBI AMEISHIKA NCHI 😂😂

Umekosa kipi kikakufanya ukitafute kwenye media ?
Kuna kipande kimekosekana kwenye maisha yako sasa umeona media ndio jibu.

Hata huo umaarufu ukiupata utasumbua watu kutaka usiri.
 
Sio udaku tu, hadi siasa, nchimbi hiki, Lisu kile, Heche huko. It's soo daunting kwakweli.

Umaarufu wangu utakuwa mkubwa mno, dunia lazima inijue. It's either I die or become that.
 
nitabakiza YouTube,
de Gunner
- Muhimu: Na pia ili usiwe addicted na YouTube hakikisha unaenda settings na kuweka off history,
1787902618018.png

1787902657423.png

Na ili kuhakiskisha untumia muda kidogo zaidi basi unakuwa nachannel zako chache ulizo subscribe.
1787902725274.png

Mimi binafsi nimechukua hatua miaka kadhaa nyuma.

Hongera kwa kuchukua hatua nawe.
 
de Gunner
- Muhimu: Na pia ili usiwe addicted na YouTube hakikisha unaenda settings na kuweka off history,
View attachment 3658584
View attachment 3658585

Na ili kuhakiskisha untumia muda kidogo zaidi basi unakuwa nachannel zako chache ulizo subscribe.
View attachment 3658586
Mimi binafsi nimechukua hatua miaka kadhaa nyuma.

Hongera kwa kuchukua hatua nawe.
Sawa mkuu, hata hivyo huwa kuna aina ya video ziko tailored na algorithms. Na nimesha weka muda kadhaa kwa ajili ya yuoutube huwa naangalia long form content

Especially zile zenye kunisaidia kufikia malengo tu.
 
Mimi hua nasoma heading tu, kama ni nzuri ndio naisoma kwa undani...
Sasa huo muda wote unakuwa ume attract energy ambazo hata hukukusudia. Unakuwa exhausted hata kufanya mambo yako
 
Back
Top Bottom