Hivi ukitaka kufanya mapenzi na mke/mpenzi wako unamwambiaje?

Arvin sloane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
996
Reaction score
204
kuna jamaa alipata binti mkali kishenzi sasa kuna cku binti kaja gheto na jamaa alikuwa na hamu sana sasa alishindwa aanzaje kumwambia binti wafanye sasa cku moja tupo bar tunapiga stori jamaa akatusimulia huo mkasa alf akatuuliza hivi nyie mkitaka kufanya mapenzi na mke au mpenzi mnawambiaje?
kuna mmoja wetu alijibu huwa anamwambia rara nikurenge tulicheka sana.
nikaona nililete hapa jamvini.
 
Jifundisheni caressing, tena usimpe break in between......unless lesbian, she would not resist.
 
We sema ni wewe unataka tukusaidie tu mkuu,ucmsingzie rafik yako
 

Sijaona hata umuhimu wa kuliweka hapa!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…