Arvin sloane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 996
- 204
kuna jamaa alipata binti mkali kishenzi sasa kuna cku binti kaja gheto na jamaa alikuwa na hamu sana sasa alishindwa aanzaje kumwambia binti wafanye sasa cku moja tupo bar tunapiga stori jamaa akatusimulia huo mkasa alf akatuuliza hivi nyie mkitaka kufanya mapenzi na mke au mpenzi mnawambiaje?
kuna mmoja wetu alijibu huwa anamwambia rara nikurenge tulicheka sana.
nikaona nililete hapa jamvini.
kuna mmoja wetu alijibu huwa anamwambia rara nikurenge tulicheka sana.
nikaona nililete hapa jamvini.