Hivi ukitaka kufanya mapenzi na mke/mpenzi wako unamwambiaje?


Mimi siwezi kuiandika hapa kwani situmii mdomo, tumeshapita steji ya kuambiana kwa mdomo!
 
mi cjaelewa umeweka tucheke ama umeweka tukushauri.kwan we ulimjibu nn huyo PIMBI
 
Itategemea na mood ya siku hiyo. Me wa kwangu nikimwambia leo nina hamu ya ku do nikirud toka kazini nakuta anaumwa.
 

kijana nyote mtakuwa ndio kwanza mmebalehe,mlikuwa mnafanya nn bar aaaah?
 
Hakuna maneno kwenye hii kitu. Mawasiliano ya vitendo yanatosha.
 
Mie tangu nimeoa siombi as tumejiwekea ki timetable kuanzia saa 5 usiku mpaka alfajir daily!
 

unamwambia hivi: TUTENDE TWENENDE.
 
Unamkumbatia namabusu lukuki atajibu mashambulizi mwishowe watu wanashangilia.
 
kaka hapo ni vitendo tu,mpaka hiyo papuchi imekuja kwa geto inajua nini kinafuata.Hapo ni wewe tu..............!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…