Hivi mtu kaja kukutembelea , hana taarifa ya kwamba mta DO siku hiyo SIO UBAKAJI?????????????????
Nadhani ni vyema mambo yote yawe wazi before na kila mmoja ajiandae akiwa anajua kuna nini siku hiyo husika
Ili kulifurahia tendo la Ndoa ni vyema ubongo uwe tayari na taarifa na kutafsiri yatakayojiri wakati husika
Mie huwa najikuta nipo kwenye 18, afu ndio naanza kujiuliza hivi tulianzaje anzaje...
Mama Haika NITASUSAAAA...
Sitegemei swali kama hili kutoka kwa 'mwanaume'
Itategemea na mood ya siku hiyo. Me wa kwangu nikimwambia leo nina hamu ya ku do nikirud toka kazini nakuta anaumwa.
Mie tangu nimeoa siombi as tumejiwekea ki timetable kuanzia saa 5 usiku mpaka alfajir daily!
kuna jamaa alipata binti mkali kishenzi sasa kuna cku binti kaja gheto na jamaa alikuwa na hamu sana sasa alishindwa aanzaje kumwambia binti wafanye sasa cku moja tupo bar tunapiga stori jamaa akatusimulia huo mkasa alf akatuuliza hivi nyie mkitaka kufanya mapenzi na mke au mpenzi mnawambiaje?
kuna mmoja wetu alijibu huwa anamwambia rara nikurenge tulicheka sana.
nikaona nililete hapa jamvini.
HahahaahahahahahahhaahaahNamwambia naomba tuunganishe vidude vyetu vya kukojolea.
mmmh hapoHakuna haja ya kumwambia wewe mshikeshike yeye mwenywe ataachia
Hahahaha!...lol.Itategemea na mood ya siku hiyo. Me wa kwangu nikimwambia leo nina hamu ya ku do nikirud toka kazini nakuta anaumwa.