mgeni10
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,108
- 370
Hivi mtu kaja kukutembelea , hana taarifa ya kwamba mta DO siku hiyo SIO UBAKAJI?????????????????
Nadhani ni vyema mambo yote yawe wazi before na kila mmoja ajiandae akiwa anajua kuna nini siku hiyo husika
Ili kulifurahia tendo la Ndoa ni vyema ubongo uwe tayari na taarifa na kutafsiri yatakayojiri wakati husika