kasanga70
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 222
- 515
Bado ninaamini serikali makini itakuwa na mfumo rahisi na wa wazi kupokea maoni mbalimbali tulionao wananchi juu ya mapendekezo Kodi zitoke wapi na mambo mengine.
Hivi kwanini ndugulile akaongezewa kitengo kingine hiyo wizara ya mawasiliano, wakatengeneza data base inayoweza kupokea na kuchuja mawazo yenye msaada kwa nchi na kero sugu ikarahisisha utekelezaji wa shughuli za serikali?