Inategemea na ninapokwenda.
Kama naenda job huwa sipendi kwenda na Pesa nyingi maana huko ndiko zinakotafutwa.
Kuna wakati natoka na buku 3 tu, zingine zibaki geto tu.
Huwa naamini nyumbani siwezi kutoka na Pesa bali Pesa nazitoa kazini kuzileta home.