Hivi ukitoka home unajiamini ukiwa na sh ngapi mfukoni?

Hivi ukitoka home unajiamini ukiwa na sh ngapi mfukoni?

Inategemea na ninapokwenda.
Kama naenda job huwa sipendi kwenda na Pesa nyingi maana huko ndiko zinakotafutwa.

Kuna wakati natoka na buku 3 tu, zingine zibaki geto tu.

Huwa naamini nyumbani siwezi kutoka na Pesa bali Pesa nazitoa kazini kuzileta home.
 
Mi hata nikiwa sina hela natoka tu.Ntazidownload hela kwny pc kupitia FOREX anytime hahah
 
Back
Top Bottom