Hivi ukitoka home unajiamini ukiwa na sh ngapi mfukoni?

Hivi ukitoka home unajiamini ukiwa na sh ngapi mfukoni?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Wakuu Mimi kwakweli bila 30 mfukoni, ata kama naenda wapi sina raha, hata kama sina kazi nazo ila najisikia kujiamini sana
 
Wakuu Mimi kwakweli bila 30 mfukoni, ata kama naenda wapi sina raha, hata kama sina kazi nazo ila najisikia kujiamini sana
mpaka ni toke na m-pawa ndo nakuwa na amani
 
Mara chache sana katika mwezi huwa nakuwa/natoka na hela. Katika kila siku 30, ni siku 4 kwa uwingi ndo nakuwa na jeuri ya kutoka na hela
 
Mara chache sana katika mwezi huwa nakuwa/natoka na hela. Katika kila siku 30, ni siku 4 kwa uwingi ndo nakuwa na jeuri ya kutoka na hela
Haha haaa pole mkuu
 
Duuu watu mko vyedi anyway inategemea na source yako.binafsi nikiwa na tembo card basi natok nauli
 
Nikiwa na Master card inatosha sanaa nikiwa maeneo ya mjini,nikienda kijijini kama sitalala huko laki moja inatosha
 
Inategemea naenda kufanya nini na gharama zake zikoje so ntakuwa na kiasi hisika tuu
 
Inategemea naenda wapi. Kama naenda job nikiwa na elfu tano roho nyeupeee
 
Back
Top Bottom