Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,334
Swali: Hivi ukitumbuliwa mshahara unakoma hapo hapo? Kama huyu aliyetumbuliwa leo hapati mshahara tena?
Kumbe mshahara bado upo, basi sio mbaya maana maisha bado yatakuwa fresh tu.Atabadilishiwa majukumu. Ukiingia serikalini hadi ufukuzwe ni kosa kubwa sana.
Mwanangu roho mbaya niitoe wapi? Mie nilikuwa namhurumia tu yeye na familia yake.Dah mwanangu una roho mbaya sana.
Anyway unakoma.
Wewe ndo umetumbuliwa?Kumbe mshahara bado upo, basi sio mbaya maana maisha bado yatakuwa fresh tu.
Maelezo yapi tena zaidi ya hayo? Huyo mwampamba aliyetumbuliwa leo, mshahara ndio basi tena?Ungetoa maelezo tungekujibu kitaaluma zaidi.
Tafsiri ya kutumbuliwa hutofautiana kulingana na nani amekutumbua, kwa kosa lipi na masharti utakayopewa kwenye barua yako ya kutumbuliwa.
Hapana mkuu, mimi sio Mwampamba.Wewe ndo umetumbuliwa?
Mpe pole.Hapana mkuu, mimi sio Mwampamba.
Mpaka ufutiwe ajira au kazi yako ndio mwisho wa kuigusa fedha ya serikali.Maelezo yapi tena zaidi ya hayo? Huyo mwampamba aliyetumbuliwa leo, mshahara ndio basi tena?
Kwa hyo blaza etu gambo bado anaendelea kukunja zile 4m kama kawaMpaka ufutiwe ajira au kazi yako ndio mwisho wa kuigusa fedha ya serikali.
Kama hajafutwa kazi au ajira ataendelea kuzichanga fedha za umma.
Rais ana authority yote juu ya mtumishi wa umma au kiongozi wa umma.
Hapo ile barua ya siri aliyopewa leo ndio imebeba majibu yote
Kabla kuwa kwenye nafasi ya uongozi wa umma Gambo alikuwa mtumishi wa umma?.Kwa hyo blaza etu gambo bado anaendelea kukunja zile 4m kama kawa
Ndio alikuwa mkuu wa wilaya ya arusha ndipo akachukua nafasi ya bwana Felix kijiko alipotumbuliwa mnamo mwaka 2016Kabla kuwa kwenye nafasi ya uongozi wa umma Gambo alikuwa mtumishi wa umma?.
Nijibu ili tuendeleze mjadala
Mwanangu roho mbaya niitoe wapi? Mie nilikuwa namhurumia tu yeye na familia yake.
Ukuu wa wilaya pia ni uongozi wa umma.Ndio alikuwa mkuu wa wilaya ya arusha ndipo akachukua nafasi ya bwana Felix kijiko alipotumbuliwa mnamo mwaka 2016