Hivi ukonda wa kwenye malori ndio ukoje?

Hivi ukonda wa kwenye malori ndio ukoje?

Fazzah5x

Senior Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
172
Reaction score
243
Habari za leo,
swali kwa ufupi tu kwa wazoefu au hata kwa ulivyoona
Hivi ukonda wa kwenye malori ndio ukoje maana kuna mtu anatafuta vijana wa3 kufanya kazi hiyo
Naombeni ufafanuzi hapa ikoje
 
Upo kama ulivyo 🤔kupakua mizigo na kupandisha kama tu kwenye mabasi makonda wana dili na abira na kwenye malori abiria ni mizigo.
 
Una deal na mizigo, kuanzia kupakia, kufunga, kushusha pia kusaidia pale gari ikipata matatizo / kuharibika njiani na kupika misosi pia.
 
Hiyo massage wametumiwa watu wengi kuwa makini usitapeliwe
 
Back
Top Bottom