Hivi ule mkutano wa CCM umeishia wapi? Au ni kikao cha siri?

Juzi kati hapo CCM walitangaza mkutano wa kamati kuu ya chama. Sisikii lolote likiendelea kuna yeyote mwenye taarifa? Au ni kikao cha siri?
 
Attachments

  • 5929966-5358adcd11ca564ef6ab279deb233ae9 (1).mp4
    14 MB
Juzi kati hapo CCM walitangaza mkutano wa kamati kuu ya chama. Sisikii lolote likiendelea kuna yeyote mwenye taarifa? Au ni kikao cha siri?
Hawana kelele

Wameeaachia madogo waprurane
 
Juzi kati hapo CCM walitangaza mkutano wa kamati kuu ya chama. Sisikii lolote likiendelea kuna yeyote mwenye taarifa? Au ni kikao cha siri?

Husikikii lolote likiendelee kwani wewe ni Mjumbe wa CCM wa mkutano huo?
 
Back
Top Bottom