Hivi ule mkutano wa CCM umeishia wapi? Au ni kikao cha siri?

Hivi ule mkutano wa CCM umeishia wapi? Au ni kikao cha siri?

Leo siku tatu kabla ya mkutano huo kuanza, wajumbe hawajui ni nani wanayekwenda kumthibitisha awe Makamo Mwenyekiti wao kwa upande wa Tanganyika.
CCM tunaheshimu katiba

Katiba inatamka jina la mgombea litapelekwa kwenye kikao sio hotelini au guest house wanakolala wajumbe

Jina watapewa ndani wakiwa kikaoni kama katiba inavyotaka
 
Ila huu ni ujuha uliotukua yaaani unapanda chombo cha usafiri unatembea a hundred kilometres kwenda Dodoma hujui unaenda kumchagua nani???😅😅😅😅

Alafu unaletewa jina mkutanoni. Kweli CCM ni chama mfu ndo vile tu Watanzania wengi bado wanasumbuliwa na ujinga
 
Mengne yapo humu yako busy kumnadi mbowe yaan taifa hili sjui ni nani alituroga tunaongozwa na mambumbu sn aisee
 
Back
Top Bottom