peedee dise
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 203
- 124
Inauma sana utafanyaje lakini kubaliana na hali halisiHabarin wana ndugu,
Hakika inauma sana pale unapo anzisha uzi afu watu wanaupita kwa kuupuuza kama huu wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikoment maana yake haujaupuuza,Kama umeupuuza huu Uzi Kama Mimi comment neno 'TUMEUPUUZA'
utani tu lengo lilikua kuupandisha Uzi wa jamaa.Ukikoment maana yake haujaupuuza,
Kupuuza ni kupita kimya kama vile umeona maandishi ya kichina
Ndio huyo huyo mkuu mwenye uziutani tu lengo lilikua kuupandisha Uzi wa jamaa.
Wewe Musiba wataifa anakutafuta na mzee kigogo kenya , eti nani vile ''kionjo?''Ndio huyo huyo mkuu mwenye uzi
Kwani hajui kwamba Kigogo ni kataWewe Musiba wataifa anakutafuta na mzee kigogo kenya , eti nani vile ''kionjo?''
ILE NI KIGOGO FULESH- pugu- Buyuni, hii yako ni kigogoKwani hajui kwamba Kigogo ni kata