Hivi ulijisikiaje siku uliyoanzisha uzi kisha ukapuuzwa kama huu wangu

Hivi ulijisikiaje siku uliyoanzisha uzi kisha ukapuuzwa kama huu wangu

Kama umeupuuza huu Uzi Kama Mimi comment neno 'TUMEUPUUZA'
 
Mimi nilijiona nina Akili nyingi sana, kifupi nilipata bichwa, nikafurahi sana nikajiona nimesoma sana kuliko wale nilio nao humu jukwaani, na hii ikanifanya niwe mtu wa kutoa mawazo na kumshauri boss sana kazini kwangu

Nilichofanya sasa;
uzi uleule nikauhamishia majukwaa mengine, kwa mfano forum ya kiswahili wasomi USA,Diaspora of tanzania weee mpaka nilikaa chini nkajua kumbeee! unatakiwa uandikie audience level of understanding.
kama mtapenda naweza kuwapa uzi wenyewe ulivo kuwa
 
Back
Top Bottom