Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Katika haya Maisha ya ulimwenguni kuna code ambazo ni ngumu kuzielewa.
Wapo wanaotumia namba kufanikisha mambo yao hawa hauwezi kuwakuta kanisani au msikitini.
Hawa wanajua kwenda sawa na mitetemo ya kila mwaka.
Kuna hawa wengine wao wanaamini katika maombi tu yawe maombi ya giza au nuru.
Na kuna wengine huambii kitu kuhusu karma.
Nimejiuliza hili swali baada ya mama mdogo wangu ambaye ana pesa Ila alikuwa monster (mnyama) anashiriki ibada za kishirikina na kuchukia watu.
Leo amekuwa mtu wa kuhangaika katika kila makanisa akiamini alilogwa na wabaya wake.
Ila Mimi baada ya kumsoma Pascal Mayalla nimegundua hizo ni karma ubaya umeamua kumrudia.