Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Mi nna namba ya voda, we mtandao gani?Mi niseme tu ukweli..
Mimi ni mtu nayetumia namba wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nna namba ya voda, we mtandao gani?Mi niseme tu ukweli..
Mimi ni mtu nayetumia namba wakuu
Sawa mkuu soonShare basi icho kitabu.
We jamaa ujitambui 😄😄😄Mi nna namba ya voda, we mtandao gani?
Vitabu viko vingi sana mkuu vya numelogy sababu watu wengi wamefanyia research na kuandaa vitabu na majarida mengi kuhusu elimu hiyo...shida yetu Watanzania/ Waafrika wengi hatuna utamaduni wa kusoma vitabuKuna kitabu nimeanza kusoma mda sana kinaitwa numelogy..
Mkuu kingine ambacho ujui kuhusu mashangazi .Na habari zako za kuchinja mishangazi endelea kuzifanya siri
Msiishie kugongeana mademu na sigara pia gongeeni na fursa.
Kweli mkuu.Vitabu viko vingi sana mkuu vya numelogy sababu watu wengi wamefanyia research na kuandaa vitabu na majarida mengi kuhusu elimu hiyo...shida yetu Watanzania/ Waafrika wengi hatuna utamaduni wa kusoma vitabu
Katika haya Maisha ya ulimwenguni kuna code ambazo ni ngumu kuzielewa.
Wapo wanaotumia namba kufanikisha mambo yao hawa hauwezi kuwakuta kanisani au msikitini.
Hawa wanajua kwenda sawa na mitetemo ya kila mwaka.
Kuna hawa wengine wao wanaamini katika maombi tu yawe maombi ya giza au nuru.
Na kuna wengine huambii kitu kuhusu karma.
Nimejiuliza hili swali baada ya mama mdogo wangu ambaye ana pesa Ila alikuwa monster (mnyama) anashiriki ibada za kishirikina na kuchukia watu.
Leo amekuwa mtu wa kuhangaika katika kila makanisa akiamini alilogwa na wabaya wake.
Ila Mimi baada ya kumsoma Pascal Mayalla nimegundua hizo ni karma ubaya umeamua kumrudia.
Wewe ndio umetenganisha ila muunganiko wa hayo yote na mengineyo, yanahusika kwa pamoja.Katika haya Maisha ya ulimwenguni kuna code ambazo ni ngumu kuzielewa.
Wapo wanaotumia namba kufanikisha mambo yao hawa hauwezi kuwakuta kanisani au msikitini.
Hawa wanajua kwenda sawa na mitetemo ya kila mwaka.
Kuna hawa wengine wao wanaamini katika maombi tu yawe maombi ya giza au nuru.
Na kuna wengine huambii kitu kuhusu karma.
Nimejiuliza hili swali baada ya mama mdogo wangu ambaye ana pesa Ila alikuwa monster (mnyama) anashiriki ibada za kishirikina na kuchukia watu.
Leo amekuwa mtu wa kuhangaika katika kila makanisa akiamini alilogwa na wabaya wake.
Ila Mimi baada ya kumsoma Pascal Mayalla nimegundua hizo ni karma ubaya umeamua kumrudia.
tupe ABCD mkuu, unatumia namba kwa namna gani. Ukituelekeza na vitabu au wajuzi wa hayo mambo tuwatafute kunako onlineMi niseme tu ukweli..
Mimi ni mtu nayetumia namba wakuu
Nimetuma kitabu mkuu...tupe ABCD mkuu, unatumia namba kwa namna gani. Ukituelekeza na vitabu au wajuzi wa hayo mambo tuwatafute kunako online
Umetisha mkuu kwamba ma-trillions yote ya sayari ulimwenguni afu kuna mwamba mmoja yupo nangulukulu anaomba Mke mwema😁😁😁Tatizo binadamu tunajipa umuhimu sana kwenye mipango ya ulimwengu (universe)
Yaani matrilioni na matrilioni ya sayari na nyota (jua/Majua) ziendeshwe kwa maombi au karma za binadamu ambao wamekaa kwenye moja kati ya hayo matrilioni na matrilioni ya sayari ?!
Ukweli ni kwamba ulimwengu haujali na hata kesho milima na mabonde ya hii dunia yakifunikana na sisi tukatoweka ulimwengu hautagundua hata kama hatupo maana kile kitakachotutokea ni kidogo na sio cha kustaajabu sana (yanakufa Majua kwa milipuko isiyoelezeka sembuse hichi kijiwe chetu tunakiita Dunia)
Ila bado kunatumaini huu ulimwengu umeungana katika level flani, kuna masuala ya quantum entanglement, quantum consciousness, collective consciousness... Na kupitiaa principle of supper position hapa ndipo utaona namna gani maombi, meditation na maswala mengine yanafanya kazi.Ukweli ni kwamba ulimwengu haujali na hata kesho milima na mabonde ya hii dunia yakifunikana na sisi tukatoweka ulimwengu hautagundua hata kama hatupo maana kile kitakachotutokea ni kidogo na sio cha kustaajabu sana (yanakufa Majua kwa milipuko isiyoelezeka sembuse hichi kijiwe chetu tunakiita Dunia)
Mkuu umeona hapo umedeal na number?? sasa bila utulivu unaweza dhani hiyo "The One" ni neno la kawaida kabisa but katika uhalisia wa elimu ya number ni neno lenye nguvu kubwa mno na kubeba maana pana sana ya maisha ya huu ulimwenguALLAH [THE ALMIGHTY, THE ALL POWERFUL, THE ONE AND ONLY , ONE WHO IS NEITHER BEGET NOR BEGOTTEN ]
Badae nataka nitoe somo kuhusu namba hapa
Pamoja mkuuKaribu utanitag
Endelea kutupa elimuKutokana na elimu ya namba ( numerology ) namba zote dunia zinaweza kuwa reduced to its roots number inayoitwa soul or spirit number kupitia natural addition na namba hiyo ndio inayoongoza kila tukio,taarifa,sababu na chanzo cha kila husika wa namba hiyo.
Hivyo hesabu zote duniani ziko based on nine number...1,2,3,4,5,6,7,8,9...namba zinazobaki zote zinakua ni marudio tu ya hizo roots number.
Kutokana na elimu ya namba,kwa ujumla wake namba zimegawanywa katika makundi makubwa mawili.
Single number ( inayotawala muonekano wa njee),compound number inayotawala ( muonekano fiche)