Hivi ulinzi shirikishi mwisho muda gani? Mbona bado tunashambuliwa na vishandu?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Yaaan unaamka na watoto kupeleka shule unakutana na pikipiki zinakimbilia kwenye lami kumbe kalizwa mtu.

Leo sicheki kwa mazuri na shule iko Goba kwa ndani kidogo

Nashuka niko njia ya rafu nikakuta wanafunzi wa Lugalo nikawambia twende maeneo ya shule niwaombee lift magari yanayokwenda kubeba watoto.

Gafla ikapita pikipiki 2 nyuma kuna jamaa kafunika usoo mmmh watoto wakasema uncle wale wezi wale

Hamad namwacha mtoto nasubiria gari ya shule wale watoto waende na lift aisee ikapita pikipiki ya kwanza nyuma madada wanaita weziii weziiii

Nikasema na hivi narudi kwa mguu kimya wakasema simu zimeenda

Ya pili pikipiki ikatupita chaaaap balaaa wanajua pikipiki aisee katoka kaka wa kiarabu analiaaa laptop imeenda balaaaaa

Wale madada wakanza kuulizana mbona tunalipa shirikishi vipi

Mmh mwaya na kwangu nimeyaona mapema nikakaa kimya

Mnaopeleka watoto shule acheni simu ndani kama mnarudi watu wana njaa

Wale hata wakidondoka wana mapanga yameng'aa wakipiga ukuta mnakimbia wote
 
Mwenzetu wa wapi maana hicho kiswahili hadi burudani.
 


HILI BWABWA
 
Nijuavyo mwisho hao sungusungu wanapoamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…