NitarejeaMkuu toa yako na sisi tucheke
Nimeupenda huu wa no 2 aisee...Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist
kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Sio team UKAWA tena wa celebrity? ?[emoji16][emoji16]Hivi jpm anavyochukia mitandao na kila siku anavyolaumu wale wanaojadili watu nadhani ingetokea akawa [HASHTAG]#Mod[/HASHTAG] wa jamii forum angehakikisha member wote wa celebrity forum wanapigwa ban za maisha
Hapa hapa coz nimegundua uzito wa jambo hutegemea na mtu anayelifanya kti jamii huyo kinda wa music mpaka leo angakua.........[emoji375]Vingepiganwa wapi mkuu...na unahisi kingetokea nini...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]Je ingekuwajee kamaa nyosoo angechezaa timu pinzanii alafuu yulee boko aliyechomwa dolee jee angekuwaa ankoo magu ndio nyosoo alimfanya vile ..una hisi nyosoo leoo angekuwaa wapiii.....
Utanipeperushia mtoto wangu mpya wa JF InnaMfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist
kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Daaah! Daby unapoelekea naweza hata kumpa mod kilo hata mbili ila akulambe ban kama ya mwezi hadi nimalize mchezo