Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Member wa jukwaa kwema!
Kuna vitu au mambo fulani hutendeka/hutendwa na tunayachukulia kawaida tuuu. Ila hivi ulishajiuliza hayo hayo mambo tunayoyachukulia kawaida yangetendeka au kutendwa sehemu zingine na watu tofauti na waliyoyatenda ingekuaje [emoji23][emoji23]?

Mfano1 : track ya WAPO ya Ney angeifanya HAMORRAPER halafu akaitwa central polisi na mlolongo mzima wa kuitwa na waziri hivi ingekuaje[emoji23][emoji23]? Kwa ishu ya NAPE tu kidogo ajitoe meno kwa mbio. Sasa kama yeye ndiye aliyekamatwa ingekuwaje? ????
6ffb96c377d654de834155891f79a192.jpg

Na wewe Karibu tuambie ingekuwa hivi ingekuwaje.
 
Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist

kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Nimeupenda huu wa no 2 aisee...
 
Hivi jpm anavyochukia mitandao na kila siku anavyolaumu wale wanaojadili watu nadhani ingetokea akawa [HASHTAG]#Mod[/HASHTAG] wa jamii forum angehakikisha member wote wa celebrity forum wanapigwa ban za maisha
 
Sio team UKAWA tena wa celebrity? ?[emoji16][emoji16]

Hapo nmekuelewa kwamba hivi JPM angekuwa mod JF INGEKUWAJE? ?[emoji23][emoji23]
 
Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist

kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Utanipeperushia mtoto wangu mpya wa JF Inna
 
Back
Top Bottom