Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

mkuu mi nawaza ingekuaje kama MKUU WA NCHI angekuaepo kwenye ile ajali ya MV bukoba daaaah ingekua poa nahisi tusingekua na rais kituko kama huyu.....
 
mkuu mi nawaza ingekuaje kama MKUU WA NCHI angekuaepo kwenye ile ajali ya MV bukoba daaaah ingekua poa nahisi tusingekua na rais kituko kama huyu.....
Huu sio uchochezi mkuuu....

Unamaanisha angekufwaa eeeh
 
Kimbulu ndicho kigumu... kwa mara ya kwanza naskia wanaongea nilijua wanagombana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hapana aiseee, huwa wanasema hakuna lugha ngumu ila duuuh!
 
Sema mungu hakunyimi vyote.. wamenyimwa lugha wakapewa uzuri
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa wamenyimwa lugha wanatumia nini kuwasiliana?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa wamenyimwa lugha wanatumia nini kuwasiliana?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji3]Hivi shemeji kale kampango vipi usije ukanitoa nje ya hoja kuu?
 
[emoji3]Hivi shemeji kale kampango vipi usije ukanitoa nje ya hoja kuu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kampango ka kunipa mshahara? We ingiza tu kwa account yangu.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kampango ka kunipa mshahara? We ingiza tu[kwa account yangu.
Unajua umeongea lugha ya picha rudia kusoma mara mbilimbili halafu uone aibu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…