Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Shemeji kweli wewe wa zamani utajiju tulilitumia kipindi cha Zama za mkapa cha ajabu bado unalipa shemeji
Ingekuwa vipi kama ugeiacha familia ya MO11 na ukaconcetrate na familia yako? Shemeji ujue "yulee ni chaguo lakooooo" [emoji443] [emoji444] [emoji445]
[emoji12] [emoji12]
 
Ingekuwa vipi kama ugeiacha familia ya MO11 na ukaconcetrate na familia yako? Shemeji ujue "yulee ni chaguo lakooooo" [emoji443] [emoji444] [emoji445]
[emoji12] [emoji12]

Ingekuwa vipi kama tukiwa wawili ukaacha kumtaja MO11 shemeji.

Kwani uchaguzi ulifanyikia wapi shemeji?
 
Ingekuwa vipi kama mngekuwa wawili tu na husna muba na ukaacha kumsumbua mke wa MO11.

Kwani ulishikiwa bunduki kufanya uchaguzi shemeji?
Ingekuwa vip kama ungeukumbuka ule msemo asiyekwepo na lake halipo?

Usimtaje mke wangu tena .
[emoji16][emoji16][emoji16]eti bunduki
 
Ingekuwa vip kama ungeukumbuka ule msemo asiyekwepo na lake halipo?

Usimtaje mke wangu tena .
[emoji16][emoji16][emoji16]eti bunduki
Yaani we mume wangu hakukauki mdomoni ila wako hautaki atajwe!!
husna muba njoo umchukue mumeo bwana, anazurura mnoo.
 
kwa uoga wa Harmorapa lockup pasingekalika ni vilio, kama alionyeshwa silaha mwingine yeye kakimbia balaa
 
Back
Top Bottom