Ingekuwa vipi kama ugeiacha familia ya MO11 na ukaconcetrate na familia yako? Shemeji ujue "yulee ni chaguo lakooooo" [emoji443] [emoji444] [emoji445]Shemeji kweli wewe wa zamani utajiju tulilitumia kipindi cha Zama za mkapa cha ajabu bado unalipa shemeji
Ingekuwa vipi kama mngekuwa wawili tu na husna muba na ukaacha kumsumbua mke wa MO11.Ingekuwa vipi kama tukiwa wawili ukaacha kumtaja MO11 shemeji.
Kwani uchaguzi ulifanyikia wapi shemeji?
Ingekuwa vip kama ungeukumbuka ule msemo asiyekwepo na lake halipo?Ingekuwa vipi kama mngekuwa wawili tu na husna muba na ukaacha kumsumbua mke wa MO11.
Kwani ulishikiwa bunduki kufanya uchaguzi shemeji?
Yaani we mume wangu hakukauki mdomoni ila wako hautaki atajwe!!Ingekuwa vip kama ungeukumbuka ule msemo asiyekwepo na lake halipo?
Usimtaje mke wangu tena .
[emoji16][emoji16][emoji16]eti bunduki
Sio kwamba weww ndiye unajipitisha pitisha shemeji nikuone [emoji3][emoji3]Yaani we mume wangu hakukauki mdomoni ila wako hautaki atajwe!!
husna muba njoo umchukue mumeo bwana, anazurura mnoo.
Ungetafuta nzuri kidogo khaaFeitty nimefanyaje kwani kwa picha mpendwa?
husna muba uko wapi jamani?Sio kwamba weww ndiye unajipitisha pitisha shemeji nikuone [emoji3][emoji3]
[emoji57][emoji57]husna muba uko wapi jamani?
husna muba, kuja beba hii kitu yako.[emoji57][emoji57]
Kweli umenichoka mimi HII KITU. haya tu wewehusna muba, kuja beba hii kitu yako.
Kitu ya husna mubaKweli umenichoka mimi HII KITU. haya tu wewe
Milima haikutaniKitu ya husna muba
Kwani mimi nimesema inakutana?Milima haikutani