hivi bamdogo hata mm una mashaka na file languHapo maneno yaliniponyoka mamdogo teh
aya niambie file langu linasemajeHapana bwana lako analo Asprin sio mimi [emoji13]
sina wasiwasi bamdogo najiamini sana mmWewe unataka kunifukuzisha kazi ... swahiba ndiye msemaji.
Vip mamdogo unawasiwasi na file lako?
Mi sizungumzii bikra ya pua bhana... we veepee?Khaaaa we babu bikra yangu ninayo mpk sasa
ashindwe kabisa asilifanyie kazi bamdogoBamdogo pia nakuamini file lako nitaliiba swahiba asilifanyie kazi haha
We mtoto hulali??Babu nakuona ujue
hata mm sizungumzii bikra ya pua tena mm ni mtawaMi sizungumzii bikra ya pua bhana... we veepee?
naanzaje kulalaWe mtoto hulali??
kumfaidi kivipiii yaanKwani mamdogo unaogopa nini mbona hana shida cha zaidi utamfaidi
mm hanifai bamdogo nitamsumbua sanaNa wewe mamdogo yaani kweli unauliza maswali nyoronyoro hivi kama yule mtoto wa mamdogo wako mdogo
nitamsumbua mm ni pasuaWewe umsumbue au akusumbue haha
hahahhh sitaki atakuja kukusimulia lee[emoji16][emoji16]ebu nisimulie zaidi hapo