Tatizo harakati zako ndugu ni kama za PIMBI. Yaani na kuhudhuria kote pm za watoto umekosa hata wa kumvusha hizi server za Mike na Maxence daah
Ha ha kuna toto liliniharibia liknzisha thread kuwa mambo ya pm nayaanika jukwaani nimeliambia lithibitishe kamekimbia mahondawTatizo harakati zako ndugu ni kama za PIMBI. Yaani na kuhudhuria kote pm za watoto umekosa hata wa kumvusha hizi server za Mike na Maxence daah
Serious nini?Nilijua jua zile ni jokes... hivi alimaanisha kweli? Seriously? ?
Naomba nifanye hivi mkuu [emoji680] itafaa sana.Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist
kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Cc: mahondawMfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist
kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Hahhah kitufe pendwa hicho mkuu kama reverse hivi.Unaseeeemaaaa [emoji87][emoji87][emoji87]
Usuper staa umatawi ya juu kujifanya wazuri kujifanya wana pesaa kwa baadhi ya memba kungeisha kwani ningejua yule ni KIBORI NANGAAYA na yule ni anyosisye kamtombeleza wa tukuyuKwan ingekua vip kam memberz wote wangetumia id halis,umri,ukoo,jina,jinsia,na kama una mke/mume,na unapoishi ingekua vip??