Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Hapana bwana.
Unamjua mudi mmoja anampigaga ban the bold? Walikuwa wanamgombania mtoto cheupe Nifah .. ila huyu mtoto nngoja tu siku The bold ameteme.. nitamchukua juu kwa juu
Tatizo harakati zako ndugu ni kama za PIMBI. Yaani na kuhudhuria kote pm za watoto umekosa hata wa kumvusha hizi server za Mike na Maxence daah
 
mh, zari lisingekuwa lake dogo hadi leo angekuwa ananyea debe...hakuna mtu ambaye angetokea kumsaidia....wengi wangemchukulia kama muhuni tu aliyekuwa anatafuta tention...
Just imagine bro kwa alivyo ukiongezea na uwoga ingekuwaje
48548c3b569886d03d8acb0d39dc3117.jpg
 
Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist

kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Naomba nifanye hivi mkuu [emoji680] itafaa sana.
 
Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist

kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Cc: mahondaw
 
Kwan ingekua vip kam memberz wote wangetumia id halis,umri,ukoo,jina,jinsia,na kama una mke/mume,na unapoishi ingekua vip??
Usuper staa umatawi ya juu kujifanya wazuri kujifanya wana pesaa kwa baadhi ya memba kungeisha kwani ningejua yule ni KIBORI NANGAAYA na yule ni anyosisye kamtombeleza wa tukuyu
 
Back
Top Bottom