Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Nimekuja kugundua Inna ni jirani yangu kidalipo na kombolela tumecheza wote. File lake libakie kwqngu kwa kuzingatia itifaki.

Kuna mafile mengine yanawalakini
La bibi yangu La mujar Shunie Chakorii Jovitha.
Huyu Chakorii sina taarifa naye. Nahitaji muhtasari wa wasifu wake. Ila huyu La mujar sio wa kumwendea kwa kasi... file lake liko masjala nalifanyia kazi kabla sijafanya maamuzi magumu.
 
Labda itokee tu sheikh... but not to zet eksitent...

Fet font haiwahusu
Haha jana ulirusha chombo nikasabuskraibu uzi bwana saa ngapi invisible asiufute nilichukIa mpaka nikamfuata inbox.
 
Haha jana ulirusha chombo nikasabuskraibu uzi bwana saa ngapi invisible asiufute nilichukIa mpaka nikamfuata inbox.
Hahahaha uzi gani tena? Unajua huyu invizibo tangu nimchukulie mchepuko wake ananiandama sana. Akiendelea hivi namchukilia wife kabisa ili liwe fundisho kwa mods wengine wenye viherehere kama wanafunzi wa form two wanaopata mimba za madereva wa bodaboda
 
Ule wa mipododoooo.....
963c5285a63e8096d41a19281e51d0a3.jpg
 
Back
Top Bottom