Haha hayaAkikujibu hapa naomba unitag
Una file la Inna au tumwachie mtakatifu Saint Ivuga anene naye kwa lugha mpaka kieleweke?Akikujibu hapa naomba unitag
Labda itokee tu sheikh... but not to zet eksitent...Tuukalie uchumi wa nchi hadi huu wa dada zetu... haturembi werevaa
Hahahaha uzi gani tena? Unajua huyu invizibo tangu nimchukulie mchepuko wake ananiandama sana. Akiendelea hivi namchukilia wife kabisa ili liwe fundisho kwa mods wengine wenye viherehere kama wanafunzi wa form two wanaopata mimba za madereva wa bodabodaHaha jana ulirusha chombo nikasabuskraibu uzi bwana saa ngapi invisible asiufute nilichukIa mpaka nikamfuata inbox.
Ule wa mipododoooo.....Hahahaha uzi gani tena? Unajua huyu invizibo tangu nimchukulie mchepuko wake ananiandama sana. Akiendelea hivi namchukilia wife kabisa ili liwe fundisho kwa mods wengine wenye viherehere kama wanafunzi wa form two wanaopata mimba za madereva wa bodaboda
We unategemea nini kama kakiwa darasa la nne tu bikra ilikuwa ishapelekwa kwao?Hahaha huyu mtoto aligangiwa haya mambo sio wa nchi hii ngoja nimlete hapa ajibu hizi shutuma.
Ewaa... hawa ni wetu sote. Sisi tunanunua hisa za awali kabla nyingine hatujaziwasilisha DSESwahiba umeanza sabotages.. unajua firm yoyote lazima iwe na share eeeh