Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Sasa HR utajuaje kama Numbisa au emmyta anafaa kitengo cha finance?

Wewe utadili na secretary wa CEO Asprin, ila hata yeye akijua umemmzunguka hachelewi kuleta secretary wake mwenyewe.
Kazi yangu kuwakiki GPA na other skills.

Hao wa CEO maana watakuwa na elimu ndogo hiyo ni kazi yake mwenyewe.

Yaani finance department ihusike kwenye panel la HR aa hapana
 
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah

I'm kissing you
I'm kissing you
You are my father You are my soldier
You protect me, boy you save me , you're my best friend you're my husband
My doctor counselor provider professor you're my everything
I love you I love you, yes I love you Smart911
I need you i trust you Smart911
I can't live without you
Teach me take me
Smart911 when we make love I can feel alk your spirit deep inside me
Smart911 baby you are so special
We can cry together
Grow together
Be ourselves together Smart911 baby I love you so muahhhhhhhhhhhhhh
 
Kazi yangu kuwakiki GPA na other skills.

Hao wa CEO maana watakuwa na elimu ndogo hiyo ni kazi yake mwenyewe.

Yaani finance department ihusike kwenye panel la HR aa hapana

Sasa hapa kwenye issues za finance wewe utajuaje competency ya muhusika kuhusiana na maswala ya utendaji?

Maana unaweza kudanganywa na GPA za chupi ukutuletea kilaza kwenye department, hilo swala unatuachia sisi wenyewe, wewe utaambiwa mpigie huyu na huyu waje interview, then mwandalie contract huyu mshahara mpe kiasi kadhaa make hiyo ni bajet ya depatment.

Bonny mpe mwongozo huyu HR, naona anaingilia kazi za watu.
 
CEO Asprin policy za kampuni zinatakiwa zibadilike. Interruptions btn departments zimezidi saana.
 
CEO Asprin policy za kampuni zinatakiwa zibadilike. Interruptions btn departments zimezidi saana.

Huyu babu ukimpelekea hii kesi usishangae anakwambia kusolve hii issue ajira zote za wadada zitapitia kwake.

Bora tumalizane tu sisi wenyewe.
 
Ha ha ha ha nshaona Hr atadanganywa na GPA za chupi yaan sie tusijue nan wa kufaya nae kaz hapana aise lazima sisi ndio tufanye scrunting then wewe utamalizia contactual works
Mbona yeye department yake hakuna anaempangia
 
Unajua jamaa kinachomuuma ni kwamba department yake ana mtu mmoja tu wa kumwajiri, sasa finance ina vitengo vingi na wa kuwaajiri ni wengi sasa anaona wivu sijui.

Na mimi ninavyoona kwa jinsi hali ilivyo wadada ndiyo hawafanyi fraud, wala hawahami hami sana wala kulilia nyongeza za mishahara, kwa hiyo mwaka huu tunaajiri jinsia ke peke yake.
 
Ha ha ha ha ha hapa hatukuuchii wewe ajiri walinzi wafagiz receptionist ila watu wa Finance Tuachie na ndugu yangu Raimundo
[emoji3][emoji3][emoji3] kwa mwendo huu nitaandika termination letter kwa hawa wafanyakazi wawili...

Sijui kama mnajua mimi ndiye afisa mwajiri wenu? ?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kwa mwendo huu nitaandika termination letter kwa hawa wafanyakazi wawili...

Sijui kama mnajua mimi ndiye afisa mwajiri wenu? ?
Ha ha ha mwenye Kampuni anafukuzwa kwan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…