kid ink tz
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 307
- 320
Njombe hawajambo?M nilisikia bariadi usiku kuna kua mji mwingine kabisa wa kishua majumba makubwa mataa kama yote kama Upo dubai ila pakikucha panabadilika
Pia misikule kama yote wanatembea kabisa muda wote
Na ukienda mgeni lazima wakuchezee kwanza