Hivi ulishawahi kusikia

Hivi ulishawahi kusikia

kid ink tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
307
Reaction score
320
Hivi ushawahi kusikia any weird or scary story about a place or thing?? Please share.

Me nilisikia kuna daraja Arusha misikule huwa inakaa kule chini husababisha ajali ili ipate Damu....
 
Mi nikiskia makaburini usiku kuna wachawi wanafanya mambo yao na kwenye mibuyu
 
M nilisikia bariadi usiku kuna kua mji mwingine kabisa wa kishua majumba makubwa mataa kama yote kama Upo dubai ila pakikucha panabadilika

Pia misikule kama yote wanatembea kabisa muda wote

Na ukienda mgeni lazima wakuchezee kwanza
 
Njombe hawajambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisikia hapo Morogoro, hapo Iringa road kuna majini na mapepo yanayosababisha ajali kila baada ya wiki 2 au ndani ya mwezi tu ajali lazima itokee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom