Hivi uliwahi kujiuliza Tanzania bila chawa na CCM itakuwaje?

Hivi uliwahi kujiuliza Tanzania bila chawa na CCM itakuwaje?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Nchi za jirani kama Kenya, Malawi na Zambia hata zisizo jirani kama vile Botswana wameangusha vyama tawalaa.

Soon, Afrika ya Kusini na Msumbiji wanaweza kujikomboa na vyama hivi manyang'au.

Je umewahi kujiuliza itakavyokuwa Tanzania bila ya CCM?

Je ungetaka mafisadi wa CCM washughulikiwe vipi?
 
Itakuwa tendo njema wakifungwa maisha gerezani au wakinyongwa. Heshima kwa wenye nchi lazima idumu.
 
Aisee itakuwa balaa sana kwqnza machawa tunaweza kudili nao huku mitaani wenyewe, ila wana green waeende jera tu
 
Hahaha binafsi nadhani kuwa ccm tayari unakuwa muhaini, Maana Mi CCM inawaza kuiba, na kulifilisi taifa kwa urafi na ubinafsi wao na familia zao.

Hivyo ikiwa yataondolewa madarakani, yale matawala majizi tuyakamate tukayafunge gereza moja yote, na kazi ngumu, tuyafilisi mali zote za ndani na nje ya nchi zitafutwe kokote ziliko zirudishwe nchini, Familia zao tuwape mashamba walime pia mpaka kulipa deni la Taifa lote.

Hakuna huruma hata kidogo.
 
Huko kote walio ingia nao wamekuwa wahuni tu eg hapo zambia
 
Back
Top Bottom