BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
No mkuu kiukweli wakereketwa wengi wa chadema hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura, taarifa zao haziko updated. Kumbuka baada ya sintofaham ya uchaguzi wa wenyeviti ziliendeshwa kampeni zikiwahimiza wapinzani wasijihusishe na kupiga kura, wengi waligoma kujiandikisha. Pia baada ya kuwa na hatihati kwamba Lissu anaweza asiteuliwe kugombea chadema wengi wakasusa kabisa kujiandikisha. Hili nina uhakika nalo, wafuasi wenu wengi hawakujiandikisha wakati daftari linaboreshwa.. Vuta pumzi, subiri Octoba itakushangazaCCM mna propaganda za kijinga sana. Sasa wewe unajuaje kama umati uliopo kwa Lissu hawajajiandikisha?
Yani unasema kwa uhakika kabisa Eti hao hawana vitambulisho vya kupiga kura. Hizo propaganda zenu nawaambia mwaka huu zimefeli big time.
Na CCM ijiandae tu kukabidhi nchi kwa Tundu Antipas Lissu!