💧 Dunia inaongozwa na watu wanao fikiri tofauti na wengine.
💧 Ukihitaji kuongoza katika sekta Fulani labda tuseme kiuchumi lazima ufikiri tofauti.
💧Mfano pale watu wanapo sema ng'ombe wa masikini hazai wewe ili ufanikiwe fikiri tofauti na msemo huu.
✍🏿 Huwa napenda sana kusoma historia za watu na mataifa mbalimbali . Nakumbuka kuanzia karne ya 7-18 waarabu ndo walikuwa wana amini kwamba wao ndo wana uwezo mkubwa kuliko kila watu wengine na kweli dunia ikaamini kuwa warabu wana uwezo sana ,ikapelekea mataifa ya ulaya,afriaka kutawaliwa na mwarabu kiuchumi, kisiasa na kijamii.
🖊️ Ilipo fika karne ya 18 wazungu nao waka anza kufikiri tofauti " walikiri kwamba haiwezekani wao wakashidwa kumiliki uchumi wa dunia "
👆🏽 Watu kama Vasco dagama, living stone na wengineo waka anza kutafuta njia za kujikwamua kiuchumi😁😁😁 ndo wakabuni njia mbalimbali za kulikabili hili tatizo .......... Mwisho empare ya kiarabu ikafa, na wazungu wakaanzisha empare zao na kusambaa zaidi hadi Leo wana miliki uchumi wa dunia ". Ok
Ili upate kufanikiwa fikiri tofauti
🛣️ ZIFATAZO NI NJIA ZITAKAZO KUFANYA UFIKIRI TOFAITI
1. Fikiri kutatua tatizo sio kilicho sababisha tatizo
🧏♂️ Vasco dagama na wengineo hawa kuanza kufikiri kwa nini hatumilik uchumi? Ila walifiki tunamiliki je uchumi wa dunia?
✍🏿 Ukianza kufikiri kinacho sababisha tatizo unajirudisha nyuma, kingene unaweza ukagundua kitu Fulani ndo kina sababisha tatizo kumbe sicho😁😁 Achana na ya nyuma fikiri namna ya kulitatua tatizo.
🎤 Leo kuna ukosefu wa ajira ni muda wa kufikiri tuna tatua je tatizo hili?
2. Ifikirie kesho zaidi
✍🏿✍🏿 Ukiiwaza kesho itakuwa je ni njia nyepesi ya kukufanya wwe kufikiri tofauti na wengine mfn kama wewe kijana utakuwa unafikiri mwaka ujao utakuwa na familia , hivi utumiaji wa pesa utakuwa sawa ba mtu asiye fikiria kesho kuwa na familia?
Ukisha waza kesho utakuwa na familia lazima utaanza kufikiri namna gani utaitunza hiyo familia kulingana na malighafi chache ulizo nazo😁😁 daima utafanya vitu vya tofauti.
3. Fikiri kushinda sio kushindwa
💧 Watu wanao fikiri kushinda daima ndo wanaiongoza dunia , ni ngum sana kuona mtu anae fikiri kushindwa kuiongoza dunia 🤫🤫 mfn mdgo mkiwa darasani kuna wale watu wa mwisho wale hivi wale wanafikiriaga kushinda? Je mtu wa kwanza darasani nae huwa anafikria kushulindwa?
🫁 wapo wengi wanao sema Mimi Biashara siwez, udaktari si uwezi😆😆 hawa hawawezi kuiongoza dunia.badili uwezo wako kuanzia sasa.
Imebaki mbinu 1
👑 Tumeumbwa sisi wanadamu kuiongoza dunia kwa kutatua matatizo yanayo ikabiri dunia, kufikiri kutoshindwa, kufikiri kesho yake hata vitabu vya dini vya angiza hivyo🙏🙏
Usibeze uwezo wako