Actually ile clip ya kufulia ilikuwa haina maana yeyote, yaani mtu alikuwa vizuri leo labda hana kitu, eti badala ya kuwaambia watu wajifunze wao wanawafundisha watu kucheka hali hiyo. Hivi vijamaa vya orijino komedi pambafu sana. Slowly, wanaanza kupoteza wapenzi na umaarufu.
Kama hawatasoma alama za nyakati basi hawana muda mrefu na wao. Industry ya Comedy ni very volatile, ili ku-survive unahitaji creativity na kufanya research ya mara kwa mara ili kujua upo kwenye stage gani ya S-curve ambayo itakusaidia kwenda mbele.
Ngoja tuone Ze Comedy ya Channel 5 ianze na ilete ushindani ili hawa jamaa wapotee na uchafu wao.