Hivi Umefulia ya The Komedy Imepotelea wapi?

Hivi Umefulia ya The Komedy Imepotelea wapi?

Mgoyangi

Senior Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
184
Reaction score
9
Nauliza kwenye forum kwa wenye majibu, hivi ile aliyefulia ya The Commedy TBC 1 imetpoptelea wapi! Ilikuwa segment ya ajabu ajabu hivi ynye kudhalilisha watu - na kwa bahati mbaya watanzania wengi waliotangazwa hapo hawakuona haja ua kudai kushushiwa hadhi na kashfa.

Mwenye kisa kamili atushushie
 
Wewe unalalamika kwamba haipo kwa sasa au unajiuliza kwa nini wahanga hawakulalamika kwenye vyombo husika? Ufafanuzi tafadhali.
 
Actually ile clip ya kufulia ilikuwa haina maana yeyote, yaani mtu alikuwa vizuri leo labda hana kitu, eti badala ya kuwaambia watu wajifunze wao wanawafundisha watu kucheka hali hiyo. Hivi vijamaa vya orijino komedi pambafu sana. Slowly, wanaanza kupoteza wapenzi na umaarufu.

Kama hawatasoma alama za nyakati basi hawana muda mrefu na wao. Industry ya Comedy ni very volatile, ili ku-survive unahitaji creativity na kufanya research ya mara kwa mara ili kujua upo kwenye stage gani ya S-curve ambayo itakusaidia kwenda mbele.

Ngoja tuone Ze Comedy ya Channel 5 ianze na ilete ushindani ili hawa jamaa wapotee na uchafu wao.
 
Back
Top Bottom