Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
6,514
Reaction score
15,247
Kuna mbingu Saba
Bahari Saba
Ardhi Saba
Binadamu ana matundu Saba
Kuna siku Saba Katika wiki
Waislamu wanazunguka mara Saba kule Kaaba
Kiama kitatokea siku ya Saba ambayo ni Ijumaa
Waislamu wakiswali wanasujudu kwa viungo Saba,,kwa maana paji la uso na pua moja, vitanga viwili vya mikono, magoti mawili na ncha mbili za vidole vya miguu jumla viungo Saba
Waislamu wanasoma dua maalumu ndani ya swala ina ayah saba

Malizia mwenyewe na mambo mengine unayoyajua

Namba Saba ni UKAMILISHO WA KITU.

Ni hayo tu!
 
Ufafanuzi kidogo mkuu tupatie
unapozihesabu siku jumapili na jumatatu zinahesabika ni siku moja. kwa sababu zote ni emotional day, yaani ni siku za hisia.

tofauti tu jumapili ni siku ya furaha(burudani)na jumatatu ni siku ya huzuni.

ila mbali na hilo haina maana kama j pili zote zitafanana japo zote zitakua za furaha. hiyo ni topic nyingine.
 
Back
Top Bottom