Hivi umeshtukia.......

Hivi umeshtukia.......

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Huko instagram,

unakuta mtu anakutaka friend request,

humjui na hayuko kwenye list ya friends zako,

na wengine wanaenda mbali,wanaweka mapicha ya wahindi,au ma actors

shtuka ni li EX lako linataka kukufuatilia tu kama umemove on lol😛😛😛😛🙁
 
Pole sana mkuu.linataka kupasha kiporo.angalia lisikubaahite
 
hahaha, linataka kula pension yake ppf
🙄🙄🙄
 
Ni kijiji cha wapi au mtaa gani? Wananchi wa huko wanatabia gani?
 
Rebeca instagram umesema ipo wapi, nataka nifike pia
 
Back
Top Bottom