wewe kweli jinga uwezi kusarisha mzigo kuja huku bila tax na nikuambie tu huku hata kama utaleta bidhaa kwanza lazima hiwe katika kiwango plus document.ni ngumu kuleta bidhaa ugaibuni.kwanza wewe ulishafika huko?huko hakuna ccm kwamba utaleta tuu bila kodi.Ndiyo, wewe kama Mtanzania kama ulikuwa haufahamu unaweza kuexport bidhaa yoyote ile EU isipokuwa silaha bila ya kulipa kodi yoyote ile huko bidhaa iendako, hivyo ni juu yako wewe kutafuta pa kuizuia tu!
Diaspora mko wapi? Kwa nini msitumie hii fursa?
Mimi nafahamu kuhusu Anglo America agreement ndio tuna fursa ya kupeleka bidhaa Marekani bila kodi, hili la Ulaya ndio nakusikia wewe hapa kwa mara ya kwanza.Ndiyo, wewe kama Mtanzania kama ulikuwa haufahamu unaweza kuexport bidhaa yoyote ile EU isipokuwa silaha bila ya kulipa kodi yoyote ile huko bidhaa iendako, hivyo ni juu yako wewe kutafuta pa kuizuia tu!
Diaspora mko wapi? Kwa nini msitumie hii fursa?
Anapima upepo tu ajue kama hiyo fursa ipo ili asafirishe mihogo, si unajua ameukosa u-DAS.Sasa kama umeamua kutusaidia kwa taarifa si ufunguke zaidi?
Tangu lini mtu wa ccm akawa timamu?wewe kweli jinga uwezi kusarisha mzigo kuja huku bila tax na nikuambie tu huku hata kama utaleta bidhaa kwanza lazima hiwe katika kiwango plus document.ni ngumu kuleta bidhaa ugaibuni.kwanza wewe ulishafika huko?huko hakuna ccm kwamba utaleta tuu bila kodi.
swissme
wewe kweli jinga uwezi kusarisha mzigo kuja huku bila tax na nikuambie tu huku hata kama utaleta bidhaa kwanza lazima hiwe katika kiwango plus document.ni ngumu kuleta bidhaa ugaibuni.kwanza wewe ulishafika huko?huko hakuna ccm kwamba utaleta tuu bila kodi.
swissme
povu jingi lakini ni yaleyale unayarudiaSina uhakika lakini inawezekana wewe ndio mjinga na sio huyo mleta mada!inawezekana wewe uko huko lakini hujui chochote,kwa taarifa yako tu ni kwamba kuna kitu kinaitwa Economic Partnership Agreement (EPA) ambacho nchi zilizopo jumuiya ya Africa Masharariki zinaibembeleza Tanzania iweke saini ili kuziwezesha nchi zote kuuza vitu ulaya bila kodi na wao kuuza vitu kwetu bila kodi.
Hata hivyo wazo hilo limekataliwa na Tanzania kwa kuwa sisi kama Least Developed Country (LDC) tayari tunaenjoys the "Everything but Arms (EBA) preference scheme" provided by the European Union i.e. we can already export duty-free and quota-free to the EU market without providing the EU with similar market access terms.
Kinachotukwaza tu kwasasa ni high standards ambazo ulaya wanazitaka katika bidhaa nyingi but kama Mtanzania unaweza kuzifikia hizi standards uko huru kucheza la soko la Ulaya kadiri utakavyo,Bahresa (SSB) amekuwa akiitumia hii fursa kwa kiwango cha juu wakati wewe unabaki ukipiga kelele hapa JF.
We uko chato,mambo ya nje ya usiyoyajua bora usiongelee,utajiaibisha.wewe kweli jinga uwezi kusarisha mzigo kuja huku bila tax na nikuambie tu huku hata kama utaleta bidhaa kwanza lazima hiwe katika kiwango plus document.ni ngumu kuleta bidhaa ugaibuni.kwanza wewe ulishafika huko?huko hakuna ccm kwamba utaleta tuu bila kodi.
swissme
hahahaha kwa Magufuli hahahaWe uko chato,mambo ya nje ya usiyoyajua bora usiongelee,utajiaibisha.
Wameacha kuwaita MonkeyWe gamba acha kukurupuka!usifananishe kila kitu na huko kwenu lumumba
We mnge....seWameacha kuwaita Monkey
Yeah...nadhani hiki ndicho mtia mada alichokuwa anataka kuwasilisha, ila labda hakuwa na uelewa mpana zaidi kuhusu hili. Nadhani hili jibu likiongezwa pale kwenye maelezo yake litasiaidia wengi mkuu. Asante.Sina uhakika lakini inawezekana wewe ndio mjinga na sio huyo mleta mada!inawezekana wewe uko huko lakini hujui chochote,kwa taarifa yako tu ni kwamba kuna kitu kinaitwa Economic Partnership Agreement (EPA) ambacho nchi zilizopo jumuiya ya Africa Masharariki zinaibembeleza Tanzania iweke saini ili kuziwezesha nchi zote kuuza vitu ulaya bila kodi na wao kuuza vitu kwetu bila kodi.
Hata hivyo wazo hilo limekataliwa na Tanzania kwa kuwa sisi kama Least Developed Country (LDC) tayari tunaenjoys the "Everything but Arms (EBA) preference scheme" provided by the European Union i.e. we can already export duty-free and quota-free to the EU market without providing the EU with similar market access terms.
Kinachotukwaza tu kwasasa ni high standards ambazo ulaya wanazitaka katika bidhaa nyingi but kama Mtanzania unaweza kuzifikia hizi standards uko huru kucheza la soko la Ulaya kadiri utakavyo,Bahresa (SSB) amekuwa akiitumia hii fursa kwa kiwango cha juu wakati wewe unabaki ukipiga kelele hapa JF.