Sina uhakika lakini inawezekana wewe ndio mjinga na sio huyo mleta mada!inawezekana wewe uko huko lakini hujui chochote,kwa taarifa yako tu ni kwamba kuna kitu kinaitwa Economic Partnership Agreement (EPA) ambacho nchi zilizopo jumuiya ya Africa Masharariki zinaibembeleza Tanzania iweke saini ili kuziwezesha nchi zote kuuza vitu ulaya bila kodi na wao kuuza vitu kwetu bila kodi.
Hata hivyo wazo hilo limekataliwa na Tanzania kwa kuwa sisi kama Least Developed Country (LDC) tayari tunaenjoys the "Everything but Arms (EBA) preference scheme" provided by the European Union i.e. we can already export duty-free and quota-free to the EU market without providing the EU with similar market access terms.
Kinachotukwaza tu kwasasa ni high standards ambazo ulaya wanazitaka katika bidhaa nyingi but kama Mtanzania unaweza kuzifikia hizi standards uko huru kucheza la soko la Ulaya kadiri utakavyo,Bahresa (SSB) amekuwa akiitumia hii fursa kwa kiwango cha juu wakati wewe unabaki ukipiga kelele hapa JF.