Hivi unafahamu kwamba unaweza kuuza Kitu Ulaya bila kodi?

Hivi unafahamu kwamba unaweza kuuza Kitu Ulaya bila kodi?

wewe kweli jinga uwezi kusarisha mzigo kuja huku bila tax na nikuambie tu huku hata kama utaleta bidhaa kwanza lazima hiwe katika kiwango plus document.ni ngumu kuleta bidhaa ugaibuni.kwanza wewe ulishafika huko?huko hakuna ccm kwamba utaleta tuu bila kodi.

swissme
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti hakuna ccm,nyie watu nyieee!!!yeye anafikiria kuvaa tshirt la kijani lenye nembo Chagua(M)kwamba watu wa ushuru watampita tu
 
Sina uhakika lakini inawezekana wewe ndio mjinga na sio huyo mleta mada!inawezekana wewe uko huko lakini hujui chochote,kwa taarifa yako tu ni kwamba kuna kitu kinaitwa Economic Partnership Agreement (EPA) ambacho nchi zilizopo jumuiya ya Africa Masharariki zinaibembeleza Tanzania iweke saini ili kuziwezesha nchi zote kuuza vitu ulaya bila kodi na wao kuuza vitu kwetu bila kodi.

Hata hivyo wazo hilo limekataliwa na Tanzania kwa kuwa sisi kama Least Developed Country (LDC) tayari tunaenjoys the "Everything but Arms (EBA) preference scheme" provided by the European Union i.e. we can already export duty-free and quota-free to the EU market without providing the EU with similar market access terms.

Kinachotukwaza tu kwasasa ni high standards ambazo ulaya wanazitaka katika bidhaa nyingi but kama Mtanzania unaweza kuzifikia hizi standards uko huru kucheza la soko la Ulaya kadiri utakavyo,Bahresa (SSB) amekuwa akiitumia hii fursa kwa kiwango cha juu wakati wewe unabaki ukipiga kelele hapa JF.
Sasa mbona unarudia yale yale???au kwa sababu jamaa hakuandika kizungu???maana wewe umeongeza kizungu tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti hakuna ccm,nyie watu nyieee!!!yeye anafikiria kuvaa tshirt la kijani lenye nembo Chagua(M)kwamba watu wa ushuru watampita tu
hahahaha

swissme
 
Ndiyo, wewe kama Mtanzania kama ulikuwa haufahamu unaweza kuexport bidhaa yoyote ile EU isipokuwa silaha bila ya kulipa kodi yoyote ile huko bidhaa iendako, hivyo ni juu yako wewe kutafuta pa kuizuia tu!

Diaspora mko wapi? Kwa nini msitumie hii fursa?
Mmmmmmhhh
 
Mkuu Barbarosa,

ungeweka ushahidi wa agreements between EU na THIRD COUNTRIES ingekua vizuri zaidi kuliko maneno matupu me naanza na UK kuweka kama link ambayo unaweza kufollow ili kujua Duties na VAT unatakiwa kulipa kwa kila bidhaa na kiwango chake : Import Duties and Taxes when Importing to the UK - Shippo

Nonetheless, unaweza pata relief kwa baadhi ya bidhaa ila kuna kiwango kila mwaka kama link inavyosema hapa: Imports from outside the EU - Detailed guidance - GOV.UK

Please hebu tupe faida za document ama hata article ya EU na sisi ili wateja wetu wapate faida zaidi.
 
Ndiyo, wewe kama Mtanzania kama ulikuwa haufahamu unaweza kuexport bidhaa yoyote ile EU isipokuwa silaha bila ya kulipa kodi yoyote ile huko bidhaa iendako, hivyo ni juu yako wewe kutafuta pa kuizuia tu!

Diaspora mko wapi? Kwa nini msitumie hii fursa?
Hata mihadarati? Labda bidhaa zinazozalishwa ndani ya EU au EEA lakini sio nje ya EU, labda tena kama kuna bilateral agreement. Labda Dr. Mahiga, waziri wa foreign affairs atatueleza hili.
 
Hata mihadarati? Labda bidhaa zinazozalishwa ndani ya EU au EEA lakini sio nje ya EU, labda tena kama kuna bilateral agreement. Labda Dr. Mahiga, waziri wa foreign affairs atatueleza hili.

hahahaha UK wana concider kama class C drug ukiingia wazee wakikudaka basi una fine ama:

If you are caught, the police will take action and there is a risk of prosecution. As a Class C drug it
will be illegal to supply, possess with intent to supply and import khat. Sanctions for these offences
for Class C drugs are up to 14 years imprisonment, an unlimited fine or both.

https://www.gov.uk/government/uploa..._data/file/341917/Khat_leaflet_A4_v12__2_.pdf
 
Back
Top Bottom