Hivi unajisikiaje ukimuona mwenzio katoboa wewe unapuyanga?

QUEEN SHAKIRA

Member
Joined
Oct 22, 2019
Posts
38
Reaction score
69
Nimekaa hapa nakunywa chai yangu na kiporo, ghafla kaja shoga yangu hatujaonana miaka mingi. Anasukuma mgari, kapendeza huyo. Full kujidai!

Nikijiangalia basi nliivyopuyanga, full kupauka. Kwakweli mimi hata sijui hata nielezeje hisia hizi.

Ila wala sina wivu. Bali hisia fulani za kuumiza sijui nizielezeje.

Vipi wewe ukiwaona classmates wako, street mate au hata playmates wa udogoni wameyapatia maisha we umekwama unajisikiaje?

Kuna madogo umewaacha shule ya msingi leo wamekupita mafanikio unajisikiaje?
 
Pole best ndo maisha
Lakini amini nakwambia fungu lako lipo ni wewe tu kuamka na kwenda kulichukua
Nikutie moyo kwamba amka na enenda sasa ukalichukue fungu lako
 
Ni vizuri sana kuangalia mafanikio ya wenzako kwa "JICHO LA KUJIFUNZA NA KUJITUMA ZAIDI", ila si kwaajili ya "WIVU NA TAMAA/UADUI".

Unapotazama mafanikio ya wenzako kwaajili ya kujifunza basi lazima utajiangalia na kujiuliza ni wapi unapokosea au unapotereza, kisha utajirekebisha au utabadili mwelekeo wa maisha.
 
Vipi wewe ukiwaona classmates wako, street mate au hata playmates wa udogoni wameyapatia maisha we umekwama unajisikiaje?

Kuna madogo umewaacha shule ya msingi leo wamekupita mafanikio unajisikiaje?
Sina roho ya chuki,

Naona ni neema Mungu kawapa nami zamu yangu itafika,

Kila mtu huku duniani ana bahati yake (bahati mbaya/nzuri).
 
Zamani ilikuwa inaniuma naweza kosa usingizi kwa Sasa imeacha baada ya kuona wale wlionipita kipindi kilee Sasa nimewaacha mbali kwahyo nikiona mtu kwa Sasa kanipita najisema kila mmoja ana fungu lake na wakati wake.
 
Nimekaa hapa nakunywa chai yangu na kiporo, ghafla kaja shoga yangu hatujaonana miaka mingi. Anasukuma mgari, kapendeza huyo. Full kujidai!

Nikijiangalia basi nliivyopuyanga, full kupauka. Kwakweli mimi hata sijui hata nielezeje hisia hizi.

Ila wala sina wivu. Bali hisia fulani za kuumiza sijui nizielezeje.

Vipi wewe ukiwaona classmates wako, street mate au hata playmates wa udogoni wameyapatia maisha we umekwama unajisikiaje?

Kuna madogo umewaacha shule ya msingi leo wamekupita mafanikio unajisikiaje?
Usijilinganishe nae, unaweza kuta ni za urithi, kuhongwa, uchawi etc.
 
Wewe ulitanguliza madushe mbele badala ya juhudi,kazi na maarifa?
 
Huenda nimeongea neno la fumbo lakini nia yangu ni kwamba
Aishi kwa kusudi la Mungu atafanikiwa
Nenda umuulize Mungu juu ya kusudi la kuumbwa kwako then yaishi maisha yako
Sawa mkuu hapo nimekusoma.
 
Huenda nimeongea neno la fumbo lakini nia yangu ni kwamba
Aishi kwa kusudi la Mungu atafanikiwa
Nenda umuulize Mungu juu ya kusudi la kuumbwa kwako then yaishi maisha yako

Kusudi la Mwenyezi Mungu kumuumba binadamu ni kumtumikia yeye. Binadamu hujisahau tukiwa hapa duniani, tunaona dunia ndio kitu cha kwanza na hivyo kuipa kipaumbele dunia kwanza, kumbe kipaumbele cha kwanza ni utumishi wetu kwa Mwenyezi Mungu, maana ndio kisudio la kutuleta hapa duniani. Hapa naomba nieleweke; haimaanishi tusifanye kazi, maana hata yeye mwenyewe (Mwenyezi Mungu), alisema asiyefanya kazi na asile, hivyo kwa kusema hivyo, Mwenyezi Mungu amebariki kazi za mikono yetu. Lakini pia alisema tafuteni kwanza ufalme wa mbingu na haya yote mtazidishiwa, ndio kusema tumtangulize Mwenyezi Mungu katika kila jambo tufanyalo. Hili limesisitizwa hata na baadhi ya viongozi wetu!
 
Upo sahihi mkuu nadhani tunaongea lugha moja Mimi na wewe
 
Back
Top Bottom