Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada nazungumzia ill feelings unazoipata bali unapogundua mwenzako amefanikiwa,na wewe unachozungumzia ni wivu wa maendeleo,kwani kama unaumia tu na huna wivu wa maendeleo utabaki hapo ulipo na hiki ndicho anachozungumzia yeye kuwa hana wivu...Utajiassess vipi bila kujilinganisha na wenzio? mimi naona ni sawa tuu tena inakupa challenge na kupambana zaidi