QUEEN SHAKIRA
Member
- Oct 22, 2019
- 38
- 69
HakikaKosa kubwa wanalofanya watu ni kujilinganisha na wengine.
Pole best ndo maishaNimekaa hapa nakunywa chai yangu na kiporo, ghafla kaja shoga yangu hatujaonana miaka mingi. Anasukuma mgari, kapendeza huyo. Full kujidai!
Nikijiangalia basi nliivyopuyanga, full kupauka. Kwakweli mimi hata sijui hata nielezeje hisia hizi.
Ila wala sina wivu. Bali hisia fulani za kuumiza sijui nizielezeje.
Vipi wewe ukiwaona classmates wako, street mate au hata playmates wa udogoni wameyapatia maisha we umekwama unajisikiaje?
Kuna madogo umewaacha shule ya msingi leo wamekupita mafanikio unajisikiaje?
Sina roho ya chuki,Vipi wewe ukiwaona classmates wako, street mate au hata playmates wa udogoni wameyapatia maisha we umekwama unajisikiaje?
Kuna madogo umewaacha shule ya msingi leo wamekupita mafanikio unajisikiaje?
Akalichukue wapi hilo fungu.?Pole best ndo maisha
Lakini amini nakwambia fungu lako lipo ni wewe tu kuamka na kwenda kulichukua
Nikutie moyo kwamba amka na enenda sasa ukalichukue fungu lako
Usijilinganishe nae, unaweza kuta ni za urithi, kuhongwa, uchawi etc.Nimekaa hapa nakunywa chai yangu na kiporo, ghafla kaja shoga yangu hatujaonana miaka mingi. Anasukuma mgari, kapendeza huyo. Full kujidai!
Nikijiangalia basi nliivyopuyanga, full kupauka. Kwakweli mimi hata sijui hata nielezeje hisia hizi.
Ila wala sina wivu. Bali hisia fulani za kuumiza sijui nizielezeje.
Vipi wewe ukiwaona classmates wako, street mate au hata playmates wa udogoni wameyapatia maisha we umekwama unajisikiaje?
Kuna madogo umewaacha shule ya msingi leo wamekupita mafanikio unajisikiaje?
Weka goals zako. Jitambue unataka nini au unataka kufika wapi then go for it. Ukifuata watu utayumba sanaUsipojilinganisha utapata vipi challenge? ni muhimu sana kujilinganisha na wengine ili uweze kujichallenge na kujifunza kutoka kwao
Huenda nimeongea neno la fumbo lakini nia yangu ni kwambaAkalichukue wapi hilo fungu.?
Sawa mkuu hapo nimekusoma.Huenda nimeongea neno la fumbo lakini nia yangu ni kwamba
Aishi kwa kusudi la Mungu atafanikiwa
Nenda umuulize Mungu juu ya kusudi la kuumbwa kwako then yaishi maisha yako
Huenda nimeongea neno la fumbo lakini nia yangu ni kwamba
Aishi kwa kusudi la Mungu atafanikiwa
Nenda umuulize Mungu juu ya kusudi la kuumbwa kwako then yaishi maisha yako
Upo sahihi mkuu nadhani tunaongea lugha moja Mimi na weweKusudi la Mwenyezi Mungu kumuumba binadamu ni kumtumikia yeye. Binadamu hujisahau tukiwa hapa duniani, tunaona dunia ndio kitu cha kwanza na hivyo kuipa kipaumbele dunia kwanza, kumbe kipaumbele cha kwanza ni utumishi wetu kwa Mwenyezi Mungu, maana ndio kisudio la kutuleta hapa duniani. Hapa naomba nieleweke; haimaanishi tusifanye kazi, maana hata yeye mwenyewe (Mwenyezi Mungu), alisema asiyefanya kazi na asile, hivyo kwa kusema hivyo, Mwenyezi Mungu amebariki kazi za mikono yetu. Lakini pia alisema tafuteni kwanza ufalme wa mbingu na haya yote mtazidishiwa, ndio kusema tumtangulize Mwenyezi Mungu katika kila jambo tufanyalo. Hili limesisitizwa hata na baadhi ya viongozi wetu!